Thursday 19 December 2013

MR NICE APATA SHAVU NCHINI DENMARK


Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa

Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo

No comments: