Sunday 9 February 2014

CHELSEA YAIFUNGA NEWCASTLE UNITED 3-0, EDEN HAZARD AFUNGA HAT-TRICK

Eden Hazard 27' •Eden Hazard 34
Kipindi cha kwanza kimemalizika Chelsea wakiwa 2-0, Bao zote mbili zikifungwa na Eden Hazard dakika ya 27 na 34 kipindi cha kwanza.
Kipindi cha pili dakika ya 63 Chelsea wakapata mkwaju wa penati na Eden Hazard akafunga bao hilo na kutimiza bao tatu (Hat-Trick) dhidi ya timu ya Newcastle United iliyokuwa ugenini leo Stamford Bridge.
Hivyo Hazard kaipeleka kileleni chelsea kwakuifanikisha kufikisha jumla ya point 56 mbele ya Mahasimu wao wakubwa man city walio na point 55, Man city wamevutwa shati leo na norwich city kwa kulazimishwa kutoa droo ya kutofungana
Huku Chelsea wakiwa wanafurahia ushindi Arsenal walikumbana na kulio kikubwa baada ya kuchapwa 5 1 kutoka kwa liverpool

No comments: