Friday 25 April 2014

ishirini wajeruhiwa kwa baada ya bomu lililokuwa nimetegwa kwenye gari kulipuka

shambulio-la-bomu-babeli-10-wafa
Shambulizi  hili lilifanyika Katika sehemu ya kati ya mji wa Babeli katika Iraq .
Kwa mujibu wa taarifa ilyopokewa  kutoka  kwa  shirika la usalama, bomu ililipuka  katika upande wa kaskazini  mwa Babeli, mmoja wa  Luteni Kanali  aliuawa katika shambulio hilo, watu 10 waliuawa, ikiwa ni pamoja na  Luteni huyo, walinzi wa usalama  walisema zaidi  ya watu 20 walijeruhiwa.
Hakuna  kauli rasmi  uliotolewa kuhusu tukio hilo.

No comments: