Wednesday 21 May 2014

Maadhimisho ya ''Siku ya Afrika'' jijini Ankara.

Upepo wa Afrika ulitanda katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara.
maadhimisho-ya-siku-ya-afrika-jijini-ankara
Chuo Kikuu cha Gazi kilikuwa mwenyeji wa maandalizi ya maadhimisho ya ''Siku ya Afrika ya mwaka 2014'' ambapo wahudhuriaji walikaribishwa kwa vyakula vya kitamaduni vya Afrika.
Ngoma maalum za Kiafrika ''tamtam'' zilizotumika katika utumbuizaji zilivutia watazamaji wengi.
Katika hafla hiyo, wageni walitumikiwa kwa vyakula.
Wageni waliohudhuria katika kituo cha Chuo Kikuu cha Gazi pia waliweza kupata fursa ya kuonja ladha mbalimbali ya vyakula vilivyoandaliwa.
Kikiwa kama mwenyeji wa maandalizi hayo, Chuo Kikuu cha Gazi kinawakilisha nchi ya Uturuki kwa wasomi na wanafunzi waliotoka Afrika.

No comments: