Wednesday 21 May 2014

Wanamgambo 32 wauawa Taliban

Wanajeshi wa hewa wa Pakistan waliwaua wanamgambo 32 wa Taliban katika mashambulizi ya angani.
wanamgambo-32-wauawa-katika-operesheni-dhidi-
Kulingana na habari kutoka kwa vyombo vya habari vya kijeshi, wanajeshi walifanya mavamizi dhidi ya wanamgambo wa Taliban walioko Kaskazini Waziristani katika masaa ya asubuhi. Ndege ya kijeshi iliweza kuonyesha makambi ya wanamgambo hawo kupitia mtandao wa satellite. Mashambulizi kutoka angani yalisababisha vifo vya wanamgambo 32 huku wengine 25 wakijeruhiwa.
Wanamgambo wengine waliouawa hapo awali katika mkoa wa Khyber Pakhtun Huvah baada ya kufanya mashambulizi ya bomu katika mji wa Peshawar na kulipua magari ya kijeshi Kaskazini mwa Waziristani waligunduliwa kuwa wanachama wa Taliban.

No comments: