Thursday 20 November 2014

Daniel Sturring nje wiki Sita

Mapema jana tulikupa taarifa za kuumia tena kwa Striker wa Liverpool Daniel Sturridge, wakati akijiandaa kurejea dimbani bada ya kuwa nje kwa muda mrefu, tukakwambia kuwa tutakupa taarifa zaidi ana maumivu ya aina gani..na atakuwa nje kwa muda gani…
Taarifa rasmi toka klabu ya Liverpool yasema kwamba, sasa Sturridge atakuwa nje kwa kipindi cha majuma sita, nah ii ni kufuatia kuumia tena Nyonga, jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje kwa kipindi kirefu…
Hii ina maana kuwa sasa kumuona dimbani ni hadi baada ya mwaka mpyaaaa….
article-2332997-1A0E2C92000005DC-282_634x437
Sturridge
 Amepiga mechi 52 na kutikisa nyavu mara 36..kweli Liverpool inamkosa!!!!!
Hii inamuacha meneja Brendan Rodgers kuendelea kuwatumia strikers wake ambao hadi sasa wamekuwa na aibu mno na lango….Mario Balotelli, Rickie Lambert naFabio Borini ..
Na Liverpool inakuwa imepoteza wafumania nyavu wake wote wa msimu uliopita kwa wakati mmoja…Luis Suarez na Sturridge.

Hizi ndizo mechi ambazo zimesalia kwa Liverpool kwa mwaka 2014, ambazo Sturridge atazikosa:

  • Crystal Palace (A) – Sunday 23rd November
  • Ludogorests (A) – Wednesday 26th November
  • Stoke City (H) – Saturday 29th November
  • Leicester (A) – Tuesday 2nd December
  • Sunderland (H) – Saturday 6th December
  • Basel (H) – Tuesday 9th December
  • Manchester United (A) – Sunday 14th December
  • Bournemouth (A) – Wednesday 17th December
  • Arsenal (H) – Sunday 21st December
  • Burnley (A) – Friday 26th December
  • Swansea (H) – Monday 29th December

No comments: