Sunday 18 January 2015

Amwagiwa maji moto kisa muhindi wa kuchoma

Picha ya mwanamke aliyemwagiwa maji ya moto
Wilaya ya tarime mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea ugali na mumewe kisa alichuma mahindi mawili katika shamba lao bila ruksa ya mumewe sasa amelazwa hospitari ya musoma kwa matibabu na mtuhumiwa ametoweka.

No comments: