Monday 16 March 2015

Hostel za Mabibo chuo cha UDSM zaungua moto

Ajali ya Moto imetokea leo majira ya saa 5:30 asubuhi katika chuo Kikuu cha Dar-es Salama kwenye hostel zao ziitwazo Mabibo Hostel.
 
Chanzo cha ajali hiyo ya Moto bado hakijaweza kufahamika kwa mapema wala dhamani ya vitu vilivyo teketea kwa moto havijaweza kufahamika kwa mapema, Moto huo ulianza kuwaka katika hostel hizo Block "B"
Vikosi vya zimamoto vimeshawasili kwa zoezi la kuzima moto

No comments: