Tuesday 5 May 2015

Mbowe ashangiliwa na madereva huku akiwashawishi wasitishe mgomo

mbowe
Mbunge wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa…
Mgomo ambao  ulianza jana na kuendelea hdi leo Mei 5, umechukua sura mpya baada ya hali tete ya kutoelewana baina ya viongozi wa madereva na baadhi ya viongozi wa Serikali ikiwemo jeshi la Polisi nchini, akiongozwa na Kamanda Mpinga, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambapo viongozi hao na madereva licha ya kufikia muafaka walikubaliana watiliane makubaliano ya maandishi,  hali ambayo inasubiriwa sasa.
Hata hivyo, Mbowe wa Chadema ambaye ametinga hapa, ameingia katika ofisi hizo na kuendelea na majadiliano huku wandishi tukiwa nje tukisubiria muafaka huo.
Hata hivyo kuna wakati majira ya saa nne kasoro asubuhi ilitokea vurugu kubwa na kutupwa mabomu

No comments: