Saturday 20 June 2015

Askari polisi 11 wajeruhiwa katika mashambulizi tofauti jijini Bujum

Askari polisi 11 wajeruhiwa BujumburaAskari polisi 11 wajeruhiwa katika mashambulizi tofauti jijini Bujumbura
Kwa mujibu wa taarifa ilotolewa na shirika la habari la Ufaransa la AFP, lilifahamisha kuwa askari polisi 11 walijeruhiwa na mabomu yakutupwa kwa mkono usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi.
Askari polisi mmoja alijeruhiwa vikali.
Vituo kadhaa vya Polisi na magari vilishambuliwa katika tarafa tofauti ikiwemo tarafa ya Cibitoke, Nyakabiga, Musaga na Jabe.

No comments: