Saturday 20 June 2015

Watu wasiojulikana wamevamia na kukata uzio unaozunguka mitambo ya kuzalisha Gesi ya Songasi

Watu wasiojulikana wamevamia na kukata uzio unaozunguka mitambo ya kuzalisha Gesi ya Songasi Gas iliyopo kinyerezi jijini Dar es Salaam  na kuanza kuchimba mchanga na hivyo kusababaisha mashimo mithitili ya maandaki  jambo ambalo  ni hatari kwa usalama wa  watu wanaoishi   karibu na mitambo hiyo  pamoja na usalama wa mitambo yenyewe kutokana na kuwepo kwa uwezekano wawa kupasuka kwa bomba lialolta gesi katika  mitambo hiyo.
Mabaharia  wamekusanyika karibu na chuo cha mabaharia kilihopo Posta jijini Dar es Salaam  kwa lengo la  kutaka kujuwa ni hatua gani zimechukuliwa na serikali katika  kuwaezesha mabaharia wazawa kuweza kufanya kazi katika meli za kuchimba gesi  katika maeneo mbalimbali ambapo imegunduliwa.
  Watumiaji wa barabara ya chunga chunga  wameomba kipande cha Barabara hiyo ambacho badaoa hakijakamilika ili  kurahisha usafiri aina ya watu wanaotoka maeneo ya sinza kwenda ubungo.

No comments: